Natafuta demu wakujikongoja nae hadi atakapoitwa mke wangu

Natafuta demu wakujikongoja nae hadi atakapoitwa mke wangu

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye kujistiri (awe muislam) mvumilivu ,atakayehitaji mwanaumme mwenye sifa kama zangu ambazo ni mrefu,mweusi wa rangi,nimeshiba kidogo yaani kipande cha mtu mashallah najiweza na ni shababi(sijifagilii plz),elimu yangu dplm in cmptr science,nimejaijiri(mjasiriamali) naishi dar na wewe uwe dar.......kwa maelezo zaidi ni pm ..S E R I O U S L Y!!!!!!iiiiiiii
 
Ngoja watakuja ila be specific kwenye umri' kila la kheri kijana
 
Heee wewe unataka kumuonja tu,wengi huingia na gia ya kuoa kama wew kumbe ni wachafuz tu,badil lughaa
 
Hapana white girl Mimi nimesena ukwel wangu tatzo nyie mnapendwa kudanganywa ndio mkubali ...
 
Back
Top Bottom