natafuta demu wakwenda nae kuangalia mechi ya taifa stars

natafuta demu wakwenda nae kuangalia mechi ya taifa stars

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
41,878
Reaction score
81,593
natafuta demu wakwenda angalia nae mechi ya taifa stars....awe mpenzi wa mpira mchangamfu na muongeaji.
age: 24-27
 
nitumie mpunga wa tiketi nikate kabisa. si kuangalia mpira tu halaf kila mtu na hamsini zake? maana tuelewane kabisa. coz tuna shida sana vijana
 
poa nipm ila unipe na pocket money laki moja inanitosha
 
nitumie mpunga wa tiketi nikate kabisa. si kuangalia mpira tu halaf kila mtu na hamsini zake? maana tuelewane kabisa. coz tuna shida sana vijana
ona sasa umeanza kujishtukia hebu changamkia tenda hiyo.
 
natafuta demu wakwenda angalia nae mechi ya taifa stars....awe mpenzi wa mpira mchangamfu na muongeaji.age: 24-27
ooh! jamani bahati imenikalia kushoto mi zoba sijachangamka!!! duhhh!!
 
ona sasa umeanza kujishtukia hebu changamkia tenda hiyo.

sio kujistukia vijana tunajijua mnaweza kuangalia vizuri baadae akaleta mbwembwe nyingine ambazo hakuzielezea hapa. halafu waswahili wanasemaaaa wasiwasi ndio akili! upo hapo!?
 
Back
Top Bottom