Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

kayimukaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
492
Reaction score
659
Habari wakuu,

Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki na maeneo karibu na hayo. Kama haupo maeneo hayo na huna vigezo tajwa usinitafute.

Mawasiliano 0620704530
 
Back
Top Bottom