Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu.

Malipo maelewano

Piga 0713 039 875
 
Usihofu Dar madereva wengi sana ila Kama huna gari utagharamia zaidi. Kila lakheri.
 
Mkuu Nina pick up (Mitsubishi L200) . Ime park uwani hapo, kama uko interested nayo pia karibu tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom