Natafuta dereva wa truck mwenye class E ya leseni

Kwa faida yako na kwa mazingira yetu Tanzania kamwe huwezi kupata madereva mahili kwa njia unayotaka kutumia.
 
Kwa faida yako na kwa mazingira yetu Tanzania kamwe huwezi kupata madereva mahili kwa njia unayotaka kutumia.
kwa hiyo hapa siwezi kupata dereva unashauri nitumie njia gani mkuu
 
siku hizi mpaka ma beki 3 wanafanywa watume maombi kwa email... mambo yanaenda kasi sana.

kama sio gari mpya, basi nna uhakika dereva wa mwanzo amekimbia na kikubwa ni maslahi, wanaondokaga bila kuaga, na wanaoaga hua atamkonnect mwingine.. sasa ww mpaka umekosa kote huko umekuja hapa ni wazi kuna walakini..

Anyway watatuma maombi. wacha nikomae na mercedes yangu hapa
 
Kama ana Leseni class C, humtaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…