Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

dadeez

Senior Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
116
Reaction score
144
Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo:
1. Android & IO's Apps Designing
2. Website na Graphics Designing
3. DataBase

Sio lazima awe na uzoefu mkuuubwa kwa maana labda awe amefanya kazi na companies kadhaa au zinazotambulika hapana, nahitaji mwenye uwezo mzuri na kujiamini..

Kuna WAZO nimeishi nalo muda mrefu unaenda mwaka mmoja, Na sasa ni wakat sahihi wa kuanza kulifanyia kazi wazo hilo. Nikiridhika nae atakua part of the team tuanzishe safari ya mafanikio pamoja. sihitaji mtu ambae ntamlipa tu na kwenda zake.

Awe anapatikana DSM fulltime kwa makazi
Umri wake usizidi miaka 33.

Piga simu: 0748243333
whatsapp: 0748243333

Asante!
 
Kwa kazi hiyo sijajua mantiki ya kuweka ukomo wa umri
 
Kwa kazi hiyo sijajua mantiki ya kuweka ukomo wa umri
Lengo la kuweka ukomo wa umri ni kulingana na lengo kuu la tunachokiendea kukifanya.. zaidi nahitaji kijana mwenye nguvu na atakaenyumbulika na mabadiliko ya Dunia hasa kwenye Teknolojia na Burudani. imani yangu inantuma kuwa umri huo ndio sahihi kuwapata vijana wa namna hiyo.
 
Umeji 'limit' mkuu, sidhani kama utaweza kumpata . Kwa watu wanaokuwa na deductive mind wanaamini unaweza kuwa na kaubaguzi uchwara moyoni
Kuna namna upo sahihi pia.. naweza kuonekana hivyo japo sio lengo langu hilo, zipo sababu kadhaa za kuweka hizo requirements kulingana na WAZO KUU lililopo mezani linataka vijana zaidi ambao naamini wataendana na hilo wazo na linawagusa zaidi wao.
 
Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo:
1. Android & IO's Apps Designing
2. Website na Graphics Designing
3. DataBase

Sio lazima awe na uzoefu mkuuubwa kwa maana labda awe amefanya kazi na companies kadhaa au zinazotambulika hapana, nahitaji mwenye uwezo mzuri na kujiamini..

Kuna WAZO nimeishi nalo muda mrefu unaenda mwaka mmoja, Na sasa ni wakat sahihi wa kuanza kulifanyia kazi wazo hilo. Nikiridhika nae atakua part of the team tuanzishe safari ya mafanikio pamoja. sihitaji mtu ambae ntamlipa tu na kwenda zake.

Awe anapatikana DSM fulltime kwa makazi
Umri wake usizidi miaka 33.

Piga simu: 0748243333
whatsapp: 0748243333

Asante!
Unatafuta mtu mmoja au wangapi?
 
Back
Top Bottom