I can do this!.Kwa wale walaamu na wenyewe uzoefu wa hizi kazi za kudesign package za kupakia unga nk..’
Nataka mtu ambae anaweza kunidizainia package ya unga wa lishe yenye muonekano mzuri.
Nitumi sample DM, nikirizika na sample yako tunaweza kufanya kazi zaidi kwa sababu ni kazi zaidi ya moja.
Asante
Nakuachia email. Unataka package za ujazo ganiDo it
Reply my Convo. Saaasa niachie email hapofanya mfano wa kilo moja unga wa lishe ikiwa poa nitakuambia zingine cos ni kazi endelevy