Natafuta DIFF ya Nissan Navara Turbo

Hikma

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
497
Reaction score
415
Kwa heshima na taadhima wanajamvi naomba kuwakilisha ombi langu la kusaidiwa kupata hiyo spare (iwe Mpya au Used)
Nitashukuru zaidi kama nitapata makadirio ya bei na pakuipata.

Natanguliza shukrani
 
Jaribu Chinja chinja Arusha,kama una upo maeneo hayo,au kama una mtu Arusha akuulizie hawakosi hao.
 
kuna
ndugu yangu wa kipemba yupo pale Ilala hua anani2mia spea na nimuaminif
na ikiwa haikufaa au mbov unamrudishia ni hodar sana.ongea nae 0657617671 anaitwa Badi.
 
Nashukuru sana mkuu Turufuu nitamtafuta
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu Msingida kwa taarifa. Swali la nyongeza tu, vp hao chinja chinja spare zao sio za wizi sababu sitaki kununua matatizo.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mtu aneishi dubei muagizie spare ni rahisi sana na zina uhakika
 
Asante mkuu Msingida kwa taarifa. Swali la nyongeza tu, vp hao chinja chinja spare zao sio za wizi sababu sitaki kununua matatizo.

Hiyo sehemu ni maarufu sana arusha,spear siyo za uwizi,bali magari yaliyopata ajali,ndio maana ya chinja chinja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…