Natafuta Disk Ya Desktop TB 4.

puzo255

Senior Member
Joined
Jul 2, 2024
Posts
183
Reaction score
655
Habari, natafuta disk ya desktop used.

Bajeti yangu 100k.

Location Dar.

Mwenye nayo anicheki PM.
 
Huwezi kupata,hata ukisema uagize china huwezi ipata Kwa bei hiyo,look very
 
Habari, natafuta disk ya desktop used.

Bajeti yangu 100k.

Location Dar.

Mwenye nayo anicheki PM.
Hata ya elfu hamsini ipo, ina jina, 4TB storage na mfanano wa disk alafu kwenye matumizi utatafuta disk nyingine inayoendana na bei halisi. Mnadhani vitu ni rahisi rahisi tu
 
Hata ya elfu hamsini ipo, ina jina, 4TB storage na mfanano wa disk alafu kwenye matumizi utatafuta disk nyingine inayoendana na bei halisi. Mnadhani vitu ni rahisi rahisi tu
Mzee mbona kama una msongo, nini tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…