Homo Habilis
Senior Member
- Jul 2, 2009
- 188
- 23
naombeni msaada wadau mnaofahamu vyuo vinavyotoa distance learning vya ukweli vilivyo na gharama nafuu mnisaidie nipate kufanya kozi yz Gsm,wimax na masuala mazima ya telecomunication. nawaombeni sana wadau mnipe muongozo ulio mwema nifanikishe dhamira yangu.