Natafuta distributor wa Sausages za Tanzania na Kenya

Democrat7

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
32
Reaction score
11
Habari Wakuu,

Mimi niko DSM. Nahitaji distributor au supplier wa sausages za Kenya na Tanzania. Ninaweza chukua packet 50-70 kwa wiki. Niko Mbezi Mwisho. Please call this number if interested: 0769141105.

Asante
 
kaibu na uwe ready. competitor wako wa kwanza hapa!!!





Naona labda sijaeleweka. Mimi sina kiwanda ila nina outlet ambayo nauza vitu mbalimbali pamoja na sausages. Kwahiyo natafuta mtu atakaye kuwa ananiletea nanunua kwake kwa bei ya jumla. Nauza sausages brands mbalimbali ikiwemo hii ya Farmer´s Choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…