bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 189
mkuu nina jamaa zangu wanatrain wanatoka kitengo cha polisi na farasi kurasini mimi wamenifanyia kazi nzuri sana ni pm
mkuu usisahau kuwa inategemea na aina ya mbwa, kuna baadhi hawafundishikinimewahi kwenda pale, wakawa wanakuja home askari 2 kumpa mafunzo mbwa 1 kwa muda wa mwezi 1 mbwa hajui
kitu wala sijaona mafunzo ya maana waliyotoa, ikabidi niwastopishe, askari wa bongo ni full usanii
Kwa hilo ucjal kuna jamaa anaitwa singaile kabobea sana na ndo kazi yake inayomuweka mjini yupo tazara. Kaisomea kazi hyo na ana jihusish na uuzaji wa mbwa.ukufika kwake bila shaka utathibitish ninayoyasema.wateja wake mara nyingi ambao humpelekea mbwa kwa mafunzo ni wahindi. Ka vp tuwasiliane ili nikudirect kwake.0682812668
mkuu usisahau kuwa inategemea na aina ya mbwa, kuna baadhi hawafundishiki
nimewahi kwenda pale, wakawa wanakuja home askari 2 kumpa mafunzo mbwa 1 kwa muda wa mwezi 1 mbwa hajui
kitu wala sijaona mafunzo ya maana waliyotoa, ikabidi niwastopishe, askari wa bongo ni full usanii