Nimeuliza maana kuna hospital nilienda c vema kuitaja doctor nlioambiwa kuwa ni specialist hakua vizuri katika fani hiyo ndio maana nilikua nataka kufahamu kupitia watu waliowahi kutibiwa na specialist yeyote mradi awe mzuri katika fani hiyo

Hakuwa vizuri vipi?
Tukikupa jina hilohilo ulilokutana nalo utarudi?
Dsm hospitali zote kubwa zina gynecologists kibao.
Ila pia acha ku shop madaktari, utachanganyikiwa.
Agakhan yupo dr shafiq he is a good doctor anakuepo from monday to fridayJamani naomba kujua ntampata wapi dr. Bingwa wa magonjwa ya kina mama hapa dar es salaam na gharama zake za kumuona hadi huduma msaada wapendwa