Natafuta Drivers ya kamera A4 tech pk-635m For Mac 1O.411 TIGER Os X

Natafuta Drivers ya kamera A4 tech pk-635m For Mac 1O.411 TIGER Os X

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
wakuu natanguliza kwanza salamkwa wote ,ningependa munisaidie kama kuna Mtu anaweza kunipatia Driver ya Kamera A4 tech pk-635m For Mac 1O.411 TIGER Os X kamera yangu ninatumia kwenye PC hakuna matatizo inayo Driver yake lakini sasa ninayo hiyo Macintosh Mac 1O.411 TIGER Os X nataka kutumia kwenye hiyo computer yake nimejaribu kutafuta kwenye google search Engine sijapata nawaomba msaad wenu wakuu mnipatie hiyo driver niiweke kamera yangu kwenye Mac Desktop nipate kuitumia asanteni kwa msaada wenu . -543712441.jpg
 
Back
Top Bottom