wakuu natanguliza kwanza salamkwa wote ,ningependa munisaidie kama kuna Mtu anaweza kunipatia Driver ya Kamera A4 tech pk-635m For Mac 1O.411 TIGER Os X kamera yangu ninatumia kwenye PC hakuna matatizo inayo Driver yake lakini sasa ninayo hiyo Macintosh Mac 1O.411 TIGER Os X nataka kutumia kwenye hiyo computer yake nimejaribu kutafuta kwenye google search Engine sijapata nawaomba msaad wenu wakuu mnipatie hiyo driver niiweke kamera yangu kwenye Mac Desktop nipate kuitumia asanteni kwa msaada wenu .
Ingia hapa http://www.a4tech.com/download%20driver.asp
waandikie hao wataweza kukusaidia lakini inaelekea "MAC" utapata shida ya drivers, kwani vifaa vingi vina base na windows ONLY.