Natafuta dry cleaner

Natafuta dry cleaner

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
576
Reaction score
242
Habari zenu wana jf,natafuta mashine ya kufulia isizidi ml 3,anaejua nitakapo ipata anijuze tafadhali,pia ningependa kujua uwezo wake.
 
Ungeweza kuanza kwa kuangalia mtandaoni ili uamue unataka yenye uwezo upi. Unless unataka kutoka kwa mtu anaetumia sasa. Halafu washing machine na dry cleaner ni vitu viwili tofauti.
 
Title ilifanya nifikirie wamtafuta mtu akufanyie usafi wa nguo! Kumbe watafuta mashine. Google kwanza ili upate makadirio ya gharama.
 
Back
Top Bottom