Natafuta Duka la Spare orijino za Mitsubishi Pajero

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Wakuu ni wapi hapa Dar nitapa duka linalouza spare orijino za Mitusbishi? Km unafahamu nipatie mawasiliano wakuu
 
Sawa Fika Kariakoo Hapo Nadhani Jirani Na Kituo Cha Total Ukitokea Fire Kushoto Kuna Duka Kunwa Bearing Linafuata Ni Toyota Bila Shaka Utapata
Kuna Wakati Niitafuta Blades Wiper Za Mitsubish Lory Maduka Madogo Sikuweza Kupata Ila Nilipofika Hapo Nikapata
Bei Zao Nao Zina Afya Zimechangamka Sana Hizo Wiper Ilikuwa Tshs 90000/=
 
Asante mkuu; nitafanya hivyo
 
🔹PAJERO😄😄😄😄😄

🔹EXTRAIL 😄😄😄😄😄

🔹BIGHON😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom