Natafuta duka linalouza vitabu vya risiti

Natafuta duka linalouza vitabu vya risiti

BabuLeo

Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
29
Reaction score
13
Wakuu Habari,

Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?.

Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
 
Salama tu kwema?

Hivyo huwa unatoa oda unatengenezewa kwa dizain unayotaka wewe
check na huyu mama huwa ananitengenezeaga kwa bei ya kuku 0685-627 271.
 
hello mkuu nicheki kwa no 0717503174 (nitumie sms kwa no hiyo ) unatoa oda ya vitabu unavyotaka nakuprintia huwa naanzia kwa 5pcs mkuu karibu sana
 
Facebook cover page.png
 
Mimi natengeneza pia nicheki kwa oda yako pm vitabu kuanzia PC 5 nakuletea hadi ofisin kwako
 
Back
Top Bottom