B BabuLeo Member Joined Sep 12, 2018 Posts 29 Reaction score 13 Apr 9, 2021 #1 Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
Wakuu Habari, Wapi naweza pata duka linalouza vile vitabu vikubwa vya kuandikia Risiti za mkono kwa hapa Dar?. Nataka kuanza biashara ndogo nahitaji hivi vitabu kwa ajili ya Risiti na kumbukumbu msaada anayejua upatikanaji.
I ISAYA JACKSON New Member Joined Oct 30, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Apr 9, 2021 #2 Salama tu kwema? Hivyo huwa unatoa oda unatengenezewa kwa dizain unayotaka wewe check na huyu mama huwa ananitengenezeaga kwa bei ya kuku 0685-627 271.
Salama tu kwema? Hivyo huwa unatoa oda unatengenezewa kwa dizain unayotaka wewe check na huyu mama huwa ananitengenezeaga kwa bei ya kuku 0685-627 271.
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Apr 9, 2021 #3 hello mkuu nicheki kwa no 0717503174 (nitumie sms kwa no hiyo ) unatoa oda ya vitabu unavyotaka nakuprintia huwa naanzia kwa 5pcs mkuu karibu sana
hello mkuu nicheki kwa no 0717503174 (nitumie sms kwa no hiyo ) unatoa oda ya vitabu unavyotaka nakuprintia huwa naanzia kwa 5pcs mkuu karibu sana
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Apr 9, 2021 #5 Mimi natengeneza pia nicheki kwa oda yako pm vitabu kuanzia PC 5 nakuletea hadi ofisin kwako
Ajuza wa JF Senior Member Joined Mar 19, 2021 Posts 119 Reaction score 346 Apr 11, 2021 #6 kiri12 said: Mimi natengeneza pia nicheki kwa oda yako pm vitabu kuanzia PC 5 nakuletea hadi ofisin kwako Click to expand... Mbona hamuweki bei?
kiri12 said: Mimi natengeneza pia nicheki kwa oda yako pm vitabu kuanzia PC 5 nakuletea hadi ofisin kwako Click to expand... Mbona hamuweki bei?