Natafuta duka wanalouza miwani za urembo kwa bei ya jumla Kariakoo

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
31
Wakuu,

Natafuta duka wanalouza miwani za urembo kwa bei ya jumla hapo kariakoo.Kwa anaefahamu tafadhali anifahamishe
na mawasiliano yao kama yapo tafadhali.
 
cc faiza fox mtoto wa k/koo
 
Last edited by a moderator:
Nenda kariakoo msikiti wa qiblatein kwenye maduka ya wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…