Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa.
89661-52F50
J2
IST New model
Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina blink.
Nahtaji kupata control box nygne, tunaijaribu kwanza ikif
Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa.
89661-52F50
J2
IST New model
Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina blink.
Nahtaji kupata control box nygne, tunaijaribu kwanza ikifanya kazi unachukua hela yako.
Namba ya sim hii hapa 0783 242247 both watsapp na normal