uko sawa mkuu tupo wengi humu electronics ina uwanja mkubwa kuna industrial electronics, communication electronics, laboratory electronics, analogy electronics digital electronics motor veichle electronics n.k anatakiwa afunguke zaidi aseme shida yake tumuelewe wakati mwingine tunaweza kumtatulia humu humu bila ya kufika kwake
Sawa kabisa wakuu, tatizo langu linabase kwenye communications. Nina router aina na CTR500 yenye USB hub kwa kuweka 3G USB modem. But naimejaribu kuunganisha haijaweza kuwasha modem na kusoma signal.