Natafuta eneo Beach

Natafuta eneo Beach

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
123
Nawasalimu wanaforum wenzangu,

Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
 
Nawasalimu wanaforum wenzangu,
Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
Bei ya kawaida beach plot unaijua ni sh ngapi kwa mita moja ya mraba?
 
Back
Top Bottom