Natafuta eneo Beach

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
123
Nawasalimu wanaforum wenzangu,

Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
 
Nawasalimu wanaforum wenzangu,
Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
Bei ya kawaida beach plot unaijua ni sh ngapi kwa mita moja ya mraba?
 
Pwani bagamoyo sadan,milioni 25 kwa eka limepimwa na hati IPO.ambalo halijapimwa milioni 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…