M MUKONZI NA BINO Member Joined Nov 20, 2013 Posts 27 Reaction score 18 Aug 21, 2019 #1 Salamu wakuu. Natafuta eneo zuri la kufungua biashara ya kuosha magari. Hata kama kuna mtu anapangisha naomba tuwasiliane. Mimi nipo Dar na biashara hiyo nataka kuifungulia hapa hapa Dar.[emoji120][emoji120]
Salamu wakuu. Natafuta eneo zuri la kufungua biashara ya kuosha magari. Hata kama kuna mtu anapangisha naomba tuwasiliane. Mimi nipo Dar na biashara hiyo nataka kuifungulia hapa hapa Dar.[emoji120][emoji120]