aBuwash
JF-Expert Member
- Dec 26, 2023
- 262
- 497
Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe.
Kuhusu vigezo
Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash.
Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo Ina population kubwa ya watu na vyomb vya usafiri.
Naombeni sana msaada wenu.
Namba yangu 0789306258
Kodii isivuke laki tatu Kwa mwezii