Wapendwa natafuta eneo linalohusika na maswala ya mazingira,maliasili,wanyamapori au misitu, ili nifanye either interniship au volunteering .,wajameni i will be happy and thankfull kwa wote mtakaonisaidia
Jiungeni na wenzio muanzishe ka mradi ka kutetea domestic animals. Muwe serious, nina uhakika itawatoa na mtakuwa mmesaidia sana katika hilo maana hawa wanyama pia ni mali asili na serikali imewasahau.