Cephas Saphiel
Member
- May 25, 2009
- 32
- 16
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kubwa popote nchini ambalo nitauziwa kwa bei poa ili nichimbe bwawa kubwa la kuvunia maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Naweza pata wapi ndugu zangu. MI ninaishi Arusha. Ahsanteni sana