Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kubwa popote nchini ambalo nitauziwa kwa bei poa ili nichimbe bwawa kubwa la kuvunia maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Naweza pata wapi ndugu zangu. MI ninaishi Arusha. Ahsanteni sana
Ukilipata Mwanza, na shamba lako likawa Arusha itakuwaje? We sema unataka shamba kubwa ambapo kuna uwezekano wa kuchimba bwawa kwa ajili ya umwagiliaji. Kama ndo hivyo funguka.