Natafuta eneo la kulima

Natafuta eneo la kulima

Bomandamo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
651
Reaction score
386
Nina zana za kilimo ila sina eneo la kulima kwa yeyote mwenye eneo tutafutane mm nitatoa trekta kwa ajili ya kulima tuchangie au anikodishie.. eneo liwe Arusha wilaya yeyote, manyara, na dodoma... kwa mawasiliano nipm au call 0763477578
 
Back
Top Bottom