Bomandamo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 651 Reaction score 386 Jul 10, 2015 #1 Nina zana za kilimo ila sina eneo la kulima kwa yeyote mwenye eneo tutafutane mm nitatoa trekta kwa ajili ya kulima tuchangie au anikodishie.. eneo liwe Arusha wilaya yeyote, manyara, na dodoma... kwa mawasiliano nipm au call 0763477578
Nina zana za kilimo ila sina eneo la kulima kwa yeyote mwenye eneo tutafutane mm nitatoa trekta kwa ajili ya kulima tuchangie au anikodishie.. eneo liwe Arusha wilaya yeyote, manyara, na dodoma... kwa mawasiliano nipm au call 0763477578