S seanherms JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 547 Reaction score 428 Jan 25, 2021 #1 Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo. Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu. Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm
Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo. Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu. Kwa yeyote mwenye eneo anichek dm