Natafuta eneo lililo karibu na mjini la kufugia kuku wa nyama, niko mkoani Morogoro

Joined
Nov 29, 2020
Posts
76
Reaction score
57
Ndugu wana JF,

Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
 
Karibu Morogoro, nina eneo ambalo naweza kukukodisha kwa ajili ya ufugaji wa kuku. Ila mabanda utajenga mwenyewe. Eneo ni zuri sana na kubwa, lina nafasi ya kuweka mbolea pia bila ya kubugudhi majirani zako. Lipo Luwe, wilaya ya mvomero Morogoro
 
Back
Top Bottom