Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.

Karibu Morogoro, nina eneo ambalo naweza kukukodisha kwa ajili ya ufugaji wa kuku. Ila mabanda utajenga mwenyewe. Eneo ni zuri sana na kubwa, lina nafasi ya kuweka mbolea pia bila ya kubugudhi majirani zako. Lipo Luwe, wilaya ya mvomero Morogoro