Nenda ilala laki 8 mpaka1.5m au check na be forward kitengo cha parts,haina shida ndg@manosa ili mradi isiwe D4, iwe automatic, petrol na 2000cc
Manosa kuna mdau mmoja ametoa ushirikiano wa kutosha, tatizo ni jinsi gani ya kupata value for money, nipo pori mikoani na jamaa yupo DAR. unaweza saidia abc za kubaini ubora au uimara pasipo kuwasha, mafundi wana techniques nyingiNenda ilala laki 8 mpaka1.5m au check na be forward kitengo cha parts,