Wernery G Kapinga JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 381 Reaction score 131 Aug 23, 2025 #1 Habari wadau wote wa usafiri. Natafuta engine kwa ajili ya kufufua pikipiki yangu. Sinoray 150 au 180 naielewa zaidi. Isiwe timing chain. Tafadhali tuwasiliane 0754004189
Habari wadau wote wa usafiri. Natafuta engine kwa ajili ya kufufua pikipiki yangu. Sinoray 150 au 180 naielewa zaidi. Isiwe timing chain. Tafadhali tuwasiliane 0754004189
K kamarah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 1,224 Reaction score 2,443 Aug 23, 2025 #2 Weka ofa yako