Natafuta engine ya subaru legacy bsportwagon

Natafuta engine ya subaru legacy bsportwagon

Shyfar

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
44
Reaction score
26
Hello naweza pata natafuta nonturbo engine ya subaru legacybsport Ej 20 yenye puli moja kulia moja kushoto.
 
Picha ya gari tafadhali wengine sio wataalam wa hizo mambo ila tukiona jinsi gari ilivyo tunaweza tukachangia kitu.
 
Back
Top Bottom