Uko wapi...Wakuu msaada
Arusha hebu jaribu kule mtaa December wanapochinja magari yaliyopata ajali...Nipo Arusha mkuu
Wanauza bei gani mkuu....kama kwa Arusha ukishindwa kule December aijui sehemu nyingine...labda ujaribu DarMkuu huko ni ghali sana
Dah..Tatizo la December madalali wengi....hapo utakuta mwenye mali anataka M 2 tu....sasa hapa itabidi utafute mtu aliyepo Dar uoanishe bei pamoja na gharama za usafirishaji..Nilikua nataka kujua kwa Dar mkuu, Arusha ni 3.5M
Mcheki Beka 0718 969947 yupo IlalaNdio mkuu unayo?
Suzuki Grand Escudo ndo hiiWakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani?
Nahitaji complete
Naambatanisha na picha ya gari.View attachment 1285665
Bado haujapata hadi sasa?Ndio mkuu unayo?
Mkuu naomba experience ya hii gari (durability, spare & fuel consumption).Wakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani?
Nahitaji complete
Naambatanisha na picha ya gari.View attachment 1285665
Jarbu dar ilala mtaa wa uhindu duka la ngosha almost 2.5m ukiongea vzur hata 2m unapata if uko intereated i can assist youWakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani?
Nahitaji complete
Naambatanisha na picha ya gari.View attachment 1285665