Wana JF napenda kuomba msaada wenu kwa shule nzuri ya primary kwa mtoto wa std 2 (2013)
Ambayo inautaratibu mzuri na watoto wanasoma na kuishi bila bugudha!!Shule iwepo nje kidogo ya jiji yaani Dar
isiwe yenye ada ya juu sana walau 1500000/= per year!! Shule anayosoma sasa kila aada ya miezi mitatu mtoto anarudi nyumbani likizo ya mwezi mmoja sasa huo utaratibu siupendi!!
Naomba msaada wenu
duuh !! Iyo Pesa Yote unalipa kwa mwanafunzi wa primarY !? Why usimpeleke shule Ya kawaida coz mwisho wa siku ufaulu wa mwanafunzi unategemea juhudi na Nature zake binafsi na siYo shule anayosoma so cha msingi mtafutie shule Ya kawaida na sio shule ya Pesa zote Hizo !!
Mkuu, Ntonga anatafuta shule - English Medium Primary School isiwe zaidi ya kiasi alichotaja. Kwamba ni pesa nyingi siyo issue kwake! Mkuu Ntonga shule ziko nyingi nzuri labda tu kwa kuwa unataka iwe nje kidogo ya Dsm so nadhani utasaidiwa na wana jamvi.