Natafuta English Medium School maeneo ya Mbagala

Natafuta English Medium School maeneo ya Mbagala

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
2,711
Reaction score
1,017
Habari wakuu?!
Nahitaji shule ya Primary iwe English medium.
Pia nahitaji iliyopo maeneo ya Mbagala au karibu na huko. Mwenye naomba msaada hata wa jina na eneo.
Natanguliza shukrani!!
 
Fahari English Medium primary & Nursery School.

Iko Chamazi ukitaka kufika pale panda gari za Mbagala Mbande shuka Mwembe Bamia.

Upande uliko shukia rudi nyuma kidogo utaona bango limeandikwa FAHARI lifuate linavyoelekeza... Ukitaka uliza kwa taarifa zaidi ni inbox.
 
Asante Mkuu
 
Poa usiogope kuniuliza nitakupa ushirikiano. Maana ninaijua kiasi fulan na kama unataka namba nitakupatia tuu ili ujiridhishe mwenyewe ni shule iko vizuri sana.
 
Back
Top Bottom