WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Fahari English Medium primary & Nursery School.
Iko Chamazi ukitaka kufika pale panda gari za Mbagala Mbande shuka Mwembe Bamia.
Upande uliko shukia rudi nyuma kidogo utaona bango limeandikwa FAHARI lifuate linavyoelekeza... Ukitaka uliza kwa taarifa zaidi ni inbox.
Poa usiogope kuniuliza nitakupa ushirikiano. Maana ninaijua kiasi fulan na kama unataka namba nitakupatia tuu ili ujiridhishe mwenyewe ni shule iko vizuri sana.