Natafuta English Proofreader haraka kwa ajili ya Dissertation yangu

Kapena

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
376
Reaction score
507
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.

Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human proofreader. Proofreaders kutoka nje wana charge pesa ndefu sana.

Terms and Conditions:

1. Someone with proficient English proofreading capacity/experience is needed.
2. The dissertation has got around 100 pages.
3. Research topic is related to IT/Telecom/Software/Electronics stuff. Hivo mtu akiwa na background kwenye hizo field itakuwa poa sana.
4. Malipo yanafanyika baada ya kazi kurudishwa na mie kuipitia na kuridhika nayo.
5. Je unaweza? Kuna mtu unamjua anaweza? Niconnect nae.
6. Malipo ni shilingi 50,000/= (around 500/= per page)
7. Njoo PM (siweki namba ya simu hapa. Supervisor wangu ni member mzuri wa JF atanidaka bure)
 
Supervisor wako naye atakuja PM!!
Nakuja PM kwani nina uzoefu na topic unayofanyia utafiti wako
 
7. Njoo PM (siweki namba ya simu hapa. Supervisor wangu ni member mzuri wa JF atanidaka bure)
Siku hizi ni kawaida tu ma supervisor kuwaelekeza watihaniwa wapeleke dissertation/thesis zao zifanyie english editing. Sioni tatizo liko wapi.
 
Tumie Premium version ya grammarly; usitumie free version.Mimi nimeitumia kwenye thesis yangu na iko vizuri sana. Bei yake ni 17$ per monthly subscription lakini kama ukihitaji nnaweza kukuuzia credential zangu kwa bei nafuu zaidi maana siitumii tena.
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.

Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human proofreader. Proofreaders kutoka nje wana charge pesa ndefu sana.

Terms and Conditions:

1. Someone with proficient English proofreading capacity/experience is needed.
2. The dissertation has got around 100 pages.
3. Research topic is related to IT/Telecom/Software/Electronics stuff. Hivo mtu akiwa na background kwenye hizo field itakuwa poa sana.
4. Malipo yanafanyika baada ya kazi kurudishwa na mie kuipitia na kuridhika nayo.
5. Je unaweza? Kuna mtu unamjua anaweza? Niconnect nae.
6. Malipo ni shilingi 50,000/= (around 500/= per page)
7. Njoo PM (siweki namba ya simu hapa. Supervisor wangu ni member mzuri wa JF atanidaka bure)
 
Tumie Premium version ya grammarly; usitumie free version.Mimi nimeitumia kwenye thesis yangu na iko vizuri sana. Bei yake ni 17$ per monthly subscription lakini kama ukihitaji nnaweza kukuuzia credential zangu kwa bei nafuu zaidi maana siitumii tena.

Brother/Sister.

I am litlle bit shocked with your information.
Grammarly subscription ni $29.5 per month.
Hiyo unayosema wewe imebadilishwa lini.
Ama ulilipia ya mwaka mzima. Ulinunua mwezi wa ngapi, I mean expire date yake?
 
Naitwa Kapena. Nipo Dar es Salaam.

Ni mwanafunzi wa Masters ambaye week ijayo natakiwa ku-submit Masters Thesis/Dissertation yangu for examination purposes. Hivyo, natafuta mtu anifanyie English proofreading ya document yangu. Nimejaribu kutumia Grammarly naona haitoshi. Nahitaji human proofreader. Proofreaders kutoka nje wana charge pesa ndefu sana.

Terms and Conditions:

1. Someone with proficient English proofreading capacity/experience is needed.
2. The dissertation has got around 100 pages.
3. Research topic is related to IT/Telecom/Software/Electronics stuff. Hivo mtu akiwa na background kwenye hizo field itakuwa poa sana.
4. Malipo yanafanyika baada ya kazi kurudishwa na mie kuipitia na kuridhika nayo.
5. Je unaweza? Kuna mtu unamjua anaweza? Niconnect nae.
6. Malipo ni shilingi 50,000/= (around 500/= per page)
7. Njoo PM (siweki namba ya simu hapa. Supervisor wangu ni member mzuri wa JF atanidaka bure)
Supervisor, hawezi kukusumbua kwa issue ya kutaka msaada proof-reading na grammar checking... kwanza swala zima la research halijabana wahusika kutaka msaada wa fikra na marekebisho, cha msingi kazi yako uwe umeiown in real sense..

Proof readers wengi huwa wanakomaa 1,000 per page..

Ila jitahidi sana umpate mtu mwenye utulivu, mweledi kweli wa lugha na la msingi zaidi mwenye ujuzi mahususi wa kitu unachosomea au tafiti itakusaidia sana hasa kwenye technical terminologies. (Jitahidi pia kumpata mdau aliyeanzia na MA itamake sense zaidi).

Jitahidi zoezi lifanyike mapema, ili ukirudishiwa kazi wewe mwenyewe tena uifanyie proof reading kuepuka kuingiza marekebisho yatakayopoteza originality na authenticity ).

All the best..
 
Mnitoeni tongotongo hapa jamani,kwamba kazi yako inaweza ikahaririwa mtandaoni pia? nina kazi inatakiwa ifanyiwe hiyo shughuli.
 
Brother/Sister.

I am litlle bit shocked with your information.
Grammarly subscription ni $29.5 per month.
Hiyo unayosema wewe imebadilishwa lini.
Ama ulilipia ya mwaka mzima. Ulinunua mwezi wa ngapi, I mean expire date yake?
mwezi wa 11 mwaka 2020, ni $29.5 ukinunua kwa mwezi mmoja, ila ukilipia ya mwaka mzima ni $17 kila mwezi wanakata.
 
Hawa jamaa expensive sana.
Kwa document yangu yenye 100 pages (18,000 word count) wamenipigia hesabu natakiwa nilipe $,570.
Sasa mkuu kwa usawa huu, ulipe TZS 1.3 Mil. kufanyiwa Proofreading!!
Umeshapata mtu wa kufanya hyo kazi?
 
Back
Top Bottom