Natafuta environmental ngo's or agency tushirikiane ktk environmental issues

soledad

Senior Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
110
Reaction score
29
Habari wakuu, mimi ni mdau wa mambo ya environmental management specifically ktk mambo ya impact assessment na environmental protection and conservation , natafuta wadau wengine tushirikiane kutoa training in various institutions ambao activities zao zina impact on environment kwa maana taasisi nyingi hazizingatii mambo haya, mie nafanya na government agency ningependa kushirikiana na NGO's mbalimbali au kama mtu yeyote anaweza kuniunganisha au kunipa details zaidi nitashukuru, contact 0653 07 78 51
 
kuna mtu ana NGO yake inaitwa health education and environmental care, ila ss ww upo mkoa gn?
 
Kama uko hapa Dodoma, mheshimiwa karibu sana DONET. Ni taasisi makini sana ambayo in uzoefu wa muda mrefu na yenye wataalam waliobobea na wenye umakini wa hali ya juu. DONET ni asasi inayojihusisha na mazingira pamoja na mambo mengne mtambuko. Hivyo fanya hima ili na uweze kufanya kazi zako kwa umakini na kwa taarifa ni kwamba DONET ina rasirimali za kutosha ikiwemo magari yenye uwezo wa kupita barabara korofi na zenye vumbi, wataalamu wenye taaluma na waliobobea na vitendea kazi vya kutosha. Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0783384494/0752916433
 
Kwa arusha NGO's zinazodeal na conservation ni zp wadau? Mie pia ni graduate kwenye hii tasnia ya conservation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…