Moshi maeneo gani kaka? Ili nikutafute maana hata mm niko around Moshi.
Poa kaka, kabla sijamtafuta naomba nikuulize swali. Hizi zinaweza kutoa Quality photos? Maana nahitaji kwa ajili ya kutengenezea matangazo, bronchures, passport size ana kazi nyingine za makampuni ambazo zinahitaji high quality printing.
- Kwa vile upo Moshi ,mpigie ili uonane na Mkurya wa Tarime kwa namba 0764 490 900
- Kuna mawili akuletee mahala ulipo au umfuate ofisini kwake
- Anazo Epson L800 na anauza tsh 800,000 tu, Pia anazo L300 anauza 450,000
- Nimechukua kwake L300 kupitia huu uzi: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/629081-inahitajika-kwa-haraka-epson-l300-printer.html
- Karibu
Hizi zinaweza kutoa Quality photos
Maana nahitaji kwa ajili ya kutengenezea matangazo, bronchures, passport size ana kazi nyingine za makampuni ambazo
Poa kaka, kabla sijamtafuta naomba nikuulize swali. Hizi zinaweza kutoa Quality photos? Maana nahitaji kwa ajili ya kutengenezea matangazo, bronchures, passport size ana kazi nyingine za makampuni ambazo zinahitaji high quality printing.
mimi ninazo kwa orderNairobi hakuna tena hizo.
1) Nina Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha. Namuhitaji mnunuzi wa harakaEpson px660 is the best photo printer ever. lakini kuipata ndio mziki niliitafuta sana nikakosa. dukani utapata L800, L200 etc etc. ila nakushauri uchukue L800 ina uwezo wa ku Print CD na pia ina cartridge 6.