Me nakushauri ukikosa kabisa...nunua used za Toyota yenye ukubwa sawa na hiyo honda yako...peleka kwa mafundi wataalam wanachakachua na inakaa vizuri tu bora tu injini iwe na exaust manifold ya honda...
Injini ya toyota inafungwa kwenye Isuzu,Nissan,BMW na magari mengine na chuma kinapiga kazi, sembuse exaust system...
Hakuna kinachoshindikqna kuchakachuliwa Bongo hii..
Hatari sana[emoji16][emoji16]