Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Wahenga tuliziitaga Asbestos.Hello JF
NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu.
Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls msaada.. namba zangu 0625182788, WhatsApp, text, & normal calls.View attachment 3549807
Kama ni asbestos the sidhani kama zitakuwepo sokoniWahenga tuliziitaga Asbestos.
Ohoo boss... Uhatari wake ni wakati wa utengenezaji au hata ikishakua imetumika.. naona zipo ambazo hazina hizo fibre hatari.Hizo za kwenye picha ziliitwa asbestos.
Material hatari kwa afya ya binadamu. Carcinogenic material (Zinasababisha saratani).
Baadhi ya sehemu zimezuiwa kutengenezwa na matumizi yake kiujumla.
Google "is an asbestos roofing dangerous?".
Zipo ambazo ni asbestos free ila nadhani huenda kwa tanzania kiwanda hakuna.Kama ni asbestos the sidhani kama zitakuwepo sokoni