Habari zenu wana jf, mimi ni mwanafunzi wa diploma of insurance and risk management mwaka wa kwanza IFM, natafuta nafasi ya kufanya field kwenye insurance compamny yeyote. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.