marktindo04
Member
- Dec 16, 2019
- 23
- 74
anapata ila ndanindani sana,kwa gharama hii huwezi pata barabaraniNgoja nikujibu bila kutumia makasiriko.
HUWEZI KUPATA KAMWE.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mods peleken Huu uzi jukwaa la jokes naona mleta mada kajichanganya kidogo
Hio figure ni kwa Currency ya Kenya ama?Mamb vp wadau wa JF ,ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi
frame iwe na kigai na gypsum yan inshort iwe frame imetulia ,isiwe kubwa sanaaa ,maana bado napambania
kodi kwa mwezi iwe 50,000-80,000
Dalali atakula 30 lakini [emoji120]
nipigie 0746751987
Hio figure ni kwa Currency ya Kenya ama?
Hio pesa apewe uchochoro tuHahahah labda, sema msaidien frem kijana apige business
Hio pesa apewe uchochoro tu
Labda katokea mkoani.Nikashtuka nilivyoona hiyo bei nkafikir kakosea kuandika[emoji28]
Huo uchochoro sio fremMamb vp wadau wa JF ,ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi
frame iwe na kigai na gypsum yan inshort iwe frame imetulia ,isiwe kubwa sanaaa ,maana bado napambania
kodi kwa mwezi iwe 50,000-80,000
Dalali atakula 30 lakini [emoji120]
nipigie 0746751987
Labd akaweke kibanda chake Sinza VaticanSinza kuna chocho kibao ambazo sidhani kama fremu za huko zitazidi 50 au 80.
Unless kama Mleta uzi atasema anataka kando ya barabara kuu.