Natafuta frame Sinza au Makumbusho

Duu ongeza ifike hata 300,000
Au Nenda Sinza Africasana...tafuta frame ya 400,000 then tafuta mtu wa kushare mfanye partition...
 
Japo Si Mtaalamu Sana Mkuu Ila Gharama Hiyo Na Specifications Zako Za Ubora Wa Frame Naona Kabisa Sidhani Kama Utapata Kulingana Na Eneo Husika (Sehemu Inayoweza Kuvutia Wateja Wengi)
 

Una ha.ra kijana. [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mleta uzi anajiona mjanja na heading yake nakuja hapa nkajua kaweka ka milioni kumbe
Yani kwa bei iyo labda umpe na kajicho kako ka tatu mwenye frem huenda akakufikiria
 
nimepandisha Dau 100,000-150,000 frame iwe sinza au makumbusho na sio lazima iwe main road lakini isiwe ndanii sana

Ipo kinondon magomen kanisani karibu na stand ya mwendo kas nikubwa unaweza kufanya partion ukitaka
 
100-200 utapata ndani ndani
Ila bararan ukipata 400 aisee chukua speed maana sahiz frem za barabaran watu wanapandiana bei
 
Watu wanaipita Sinza barabarani wanahisi wameimaliza.

Fremu ya pesa hiyo Sinza na Makumbusho unapata ila haiwezi kua barabarani. Kwa barabarani labda upate Sinza ya Darajani kama unaitafuta Tandale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…