Naomba msaada wenu jamani nataka frem uwezo wangu wa kodi max 150,000 na naweza kulipa miezi sita 50,000 nalipa mwaka jamani km kuna mtu unamfahamu nisaidei ndugu yenu wana jf.nawataki siku njema wote
Stationary-hali ya kitu kilichotulia tuli(hakina mwendo/movement), mie hapo juu siko stationary!!!!! Stationery-duka la vifaa vya ofisi, madaftari, kalamu , wino etc
Chaguo ni lako.